Galatians 5:5-6

5 aKwa maana, kwa njia ya Roho kwa imani, tunangojea kwa shauku tumaini la haki. 6 bKwa maana ndani ya Al-Masihi Isa, kutahiriwa au kutokutahiriwa hakuleti tofauti, bali lililo muhimu ni imani itendayo kazi kwa njia ya upendo.

Copyright information for SwhKC